Vigezo na Masharti

Kuvitumia na kuvibandika pengine

Vipeperushi vyetu vimetolewa kwa ajili yako. Jisikie huru kuvichapisha na kuvitumia katika huduma ya kuwashuhudia jamaa, marafiki, na kadhalika juu ya Injili. Zaidi, unaruhusiwa kuvibandika kwenye site nyingine. Tunaomba tu visibadilishwe na uweke ambatanisho la anuani yetu pamoja navyo.

Kuongezea ambatanisho kwenye site yako

Copy na Paste sehemu ndogo ya HTML katika site yako ili uwatolee wenzako ambatanisho la matoleo yetu.

<a href="https://www.vipeperushivyainjili.org">Bonyeza hapa kusoma Maandiko ya kibiblia</a>