Chama cha Vipeperushi vya Injili na Biblia

Karibuni sana! Lengo la Chama hiki ni kusambaza Habari Njema duniani, yaani neema ipatikanayo kupitia imani kwa Yesu Kristo. Hivyo tunasaidia kutimiza agizo la Kristo.

Mawasiliano

Ukiwa na maswali kuhusu Biblia au ungependa kuwasiliana na mhusika juu ya ujumbe hizo, tafadhali ujaze fomu iliopo chini. Pia unaweza kuomba kutumiwa nakala zilizochapishwa, bila gharama, kwa ajili yako na kusambaza kwa wengine.


Kuagiza Vipeperushi